Popular Posts

Blog Archive

Latest Post

Hii ndo Top 15 ya Mitandao ya Kijamii Inayopendwa zaidi Duniani | February 2014

Written By Unknown on Saturday, February 22, 2014 | 8:48 AM

1 | Facebook
3 - eBizMBA Rank | 900,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | 3 - Compete Rank | 3 - Quantcast Rank | 2 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

Twitter 2 | Twitter
15 - eBizMBA Rank | 290,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | 30 - Compete Rank | 5 - Quantcast Rank | 9 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

LinkedIn 3 | LinkedIn
16 - eBizMBA Rank | 250,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | 24 - Compete Rank | 17 - Quantcast Rank | 8 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

Pinterest 4 | Pinterest
27 - eBizMBA Rank | 150,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | 40 - Compete Rank | 14 - Quantcast Rank | 26 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

Google Plus 5 | Google Plus+
30 - eBizMBA Rank | 126,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | *32* - Compete Rank | *28* - Quantcast Rank | NA - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

Tumblr 6 | Tumblr
31 - eBizMBA Rank | 125,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | 55 - Compete Rank | 13 - Quantcast Rank | 25 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

Instagram 7 | Instagram
70 - eBizMBA Rank | 100,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | 52 - Compete Rank | 118 - Quantcast Rank | 41 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

Flickr 8 | Flickr
94 - eBizMBA Rank | 80,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | 115 - Compete Rank | 102 - Quantcast Rank | 65 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

VK 9 | VK
97 - eBizMBA Rank | 79,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | *150* - Compete Rank | *120* - Quantcast Rank | 22 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

MySpace 10 | MySpace
284 - eBizMBA Rank | 40,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | 22 - Compete Rank | 70 - Quantcast Rank | 761 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

Tagged 11 | Tagged
486 - eBizMBA Rank | 38,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | 703 - Compete Rank | 376 - Quantcast Rank | 378 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

MeetUp 12 | Meetup
518 - eBizMBA Rank | 35,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | 687 - Compete Rank | 546 - Quantcast Rank | 321 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

Ask.fm 13 | Ask.fm
599 - eBizMBA Rank | 34,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | 1,538 - Compete Rank | 103 - Quantcast Rank | 155 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

MeetMe 14 | MeetMe
1,148 - eBizMBA Rank | 10,500,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | 1,325 - Compete Rank | 177 - Quantcast Rank | 1,941 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

Classmates 15 | ClassMates
1,189 - eBizMBA Rank | 10,000,000 - Estimated Unique Monthly Visitors | 141 - Compete Rank | 207 - Quantcast Rank | 3,220 - Alexa Rank.
The Most Popular Social Networking Sites | Updated 2/15/2014 | eBizMBA

MJADALA: NI KWELI MESUT OZIL HANA MSAADA KWA ARSENAL KWENYE MECHI KUBWA ?






 Pamoja na shutuma lukuki kumwandama kiungo Mesut Ozil alikuwa miongozi mwa wachezaji watatu waliotembea sana kiwanjani.
Hii ni orodha ya wachezaji waliojituma sana kwenye mchezo baina ya Arsenal na Bayern Munich
Mathieu Flamini = 13.53km
Jack Wilshere = 11.80km
Mesut Ozil = 11.69km
Mario Gotze = 11.68km
Yaya Sanogo = 11.50km

KUELEKEA KOMBE LA DUNIA: ENGLAND KATIKATI YA URUGUAY NA ITALIA, KUNDI D


Na BARAKA MBOLEMBOLE

WIKI ILIYOPITA tulitazama kundi la pili la michuano ijayo ya kombe la dunia ambayo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake nchini Brazil Juni mwaka huu.   Mabingwa watetezi Hispania, Uholanzi, Australia na Chile ndiyo wanaounda kundi hilo. Leo tunalitazama kundi la nne ( kundi la tatu utalitazama kesho katika mtandao huu) Kundi la D, Lina nchi za  England, Uruguay, Italia na Costa Rica/

NI mataifa machache sana yenye historia ya soka kama Uruguay ' The Sky Blue One'. IKiwa ni nchi yenye wakazi wasizidi millioni nne Uruguay inajivunia kuwa moja ya mataifa yenye mataji mengi ya kimataifa duniani.  Imetwaa ubingwa wa kombe la dunia mara mbili, 1930, na 1950, pia wanaongoza kwa kutwaa ubingwa wa Amerika ya Kusini mara nyingi zaidi, mara 15, huku ubingwa wao wa mwisho wakitwaa mwaka 2011 nchini Argentina.

Mabingwa hao wa kwanza wa dunia,  tayari wamecheza michezo 47 ya fainali za kombe  la dunia, wakiwa wamepata ushindi mara 18, kutoa sare mara 12 na kupoteza michezo 17, wamefunga mabao 76 na kuruhu nyavu zao mara 65. Walimaliza katika nafasi ya nne katika fainali zilizopita, WOZA 2010, na sasa wamefuzu kwa fainali zao za 12 kati ya 20.

Kiwango cha sasa cha nchi ya Costa Rica  kinaweza kufanya kundi hilo kuhesabika kama ni moja ya makundi magumu zaidi, kwani wawakilishi wa Ulaya, England na Italia walifanya vibaya katika fainali zilizopita. England iliishia hatua ya 16 bora na Italia ilishindwa hata kuvuka hatua ya makundi.

Mabingwa hao mara nne, ' Azzurri' ni moja ya mataifa mawili ambayo yanashikilia rekodi ya kutwaa ubingwa huo mara mbili mfululizo sambamba na Brazil, Italia ilitwaa katika miaka ya 1934 na 1938, wakarudia tena katika miaka ya 1982 na 2006.Wamefuzu kwa mara ya 13 mfululizo  kati ya mara 17 walizowahi kufuzu. Hii ni timu ya kombe la dunia. WAmefuzu mbele ya mataifa ya Denmark, Czech Republic, Bulgaria, Armenia na Malta,  wakishinda michezo sita na sare nne kati ya michezo 10 waliyocheza.

Kikosi hicho kiliifunga England katika robo fainali ya michuano ya Euro 2012 na hatimaye kufika fainali wakati huo. Imeshacheza jumla ya michezo b3,  wakishinda michezo 45, sare katika michezo 21, na wamepoteza mara 17, wamefunga mabao 130 na wameruhusu mabao 78. Italia na Uruguay zinaweza kuvuka kundi hili na kuziacha nje England na Costa Rica.

England ' The Three lions' wamefuzu tena kwa fainali za kombe la dunia. NI moja ya timu maarufu sana katika michuano hiyo japo huwa haifanyi vizuri. Mafanikio yao ya mwisho ni katika fainali za mwaka 1990 walipofanikiwa kufika hadi hatua ya nusu fainali, walishindwa kufuzu kwa fainali za mwaka 1994 na wakaondolewa katika hatua ya robo fainali katika fainali za miaka ya 2002, 2006, na wakaishia hatua ya mtoano mwaka 2010.

Wamewahi kucheza michezo 59 katika fainali 13 walizopita miaka ya nyuma, wameshinda mara 26 tu, sare wametoa mara 19 na wamefungwa michezo 14. Ni moja ya timu zenye uhaba wa mabao katika michuano hiyo, wakiwa wamefunga mabao  77 na kuruhusu mabao 52 ni wastani wa chini katika ufungaji na uzuiaji katika kombe la dunia. Costa Rica wanatajwa kama vibonde katika kundi hili wamefuzu kwa fainali zao za nne. Wamewahi kuishia hatua ya 16 bora katika fainali za mwaka 1990 na wamewahi kuishia hatua ya makundi katika miaka ya 2002 na 2006. WAmecheza michezo 10 ya fainali za kombe la dunia, wameshinda michezo mitatu, wametoa sare mchezo mmoja na wamepoteza michezo sita. Hii ni ratiba ya mechi za kundi hili.
June 14 Fortaleza, 2000:

Uruguay v Costa Rica
June 15 Manaus, 0200:

England v Italy
June 19 Sao Paulo, 2000:

Uruguay v England
June 20 Recife, 1700:
Italy v Costa Rica
June 24 Natal, 1700:
Italy v Uruguay
June 24 B. Horiz, 1700:

UNDANI WA BODABODA ALIYENYONGWA KIVULE

Stori: Nyemo Chilongani
Dereva wa Bodaboda aliyejulikana kwa jina la Musa Wambari, 25, mkazi wa Kitunda, jijini Dar es Salaam amekutwa amenyongwa na maiti yake kutupwa katika Uwanja wa Shule ya Abdu Juma huko Kivule.
Marehemu Musa na mkewe enzi za uhai wake.
Tukio hilo la kuhuzunisha lilitokea Februari 9, mwaka huu saa 4 usiku baada ya marehemu kukodiwa na watu wawili.
Imedaiwa na madereva bodaboda waliokuwa wakiegesha pikipiki zao eneo la Matembele na marehemu kuwa, siku ya tukio wakiwa eneo lao la kazi alifika kijana anayedaiwa kujihusisha na uhalifu aitwaye Jose akiwa na mwenzake aliyevaa suti.
Mmoja wa madereva hao aliyeomba hifadhi ya jina lake aliongeza kuwa, Jose na rafiki yake walitaka kukodi pikipiki lakini kwa vile walikuwa wakimfahamu kwamba alikuwa muhalifu walikataa ndipo wakaondoka.
“Muda mfupi baadaye tulimuona marehemu akiwa anapita na bodaboda yake huku kampakiza Jose na rafiki yake, kwa kuwa hakujua kama hawakuwa watu wema tulijitahidi kumwita ili ahairishe safari lakini kutokana na elementi aliyovaa hakutusikia,” alisema dereva huyo.
Mwendesha bodaboda huyo aliongeza kuwa, walipofika sehemu ambayo ilikuwa imetulia wauaji hao walimuua Wambari kwa kumnyonga kwa mkanda wa suruali aliyovaa kisha kuyatoboa macho yake kwa kutumia wembe na kuutupa mwili wake katika Uwanja wa Shule ya Abdu Juma iliyopo Kivule na kuondoka na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili T538 CSE.
Aliongeza kuwa, mara baada ya kutokea mauaji hayo, Jose alijisalimisha katika Kituo cha Polisi cha Sitakishari, Ukonga na kudai hakuhusika na mauaji hayo ambapo alishikiliwa hadi alipokuja kutambuliwa na madereva bodaboda na baada ya kubanwa alikiri kumuua Wambari kwa kushirikiana na wenzake wawili kisha kuiuza pikipiki hiyo Manzese ambapo imepatikana.

ISABELA MPANDA, KALAMA WAZINGUANA KINOMANOMA

Stori: Gladness Mallya
WALE wapenzi wa muda mrefu, Luteni Kalama na Isabela Mpanda hivi karibuni walizinguana kinomanoma baada ya Kalama kwenda kumchomoa kwa nguvu mpenzi wake huyo akiwa bandari ya Dar es Salaam alikokuwa akifanya taratibu za kwenda Zanzibar kushuti filamu.
Luteni Kalama na Isabela Mpanda.
Chanzo chetu kilichokuwa eneo la tukio kilisema: “Sisi tulishangaa kumuona Kalama anakuja akiwa amefura, alipomuona tu Isabela akamchukua kwa nguvu, walizinguana sana na baadaye wakaondoka pamoja, hatukujua tatizo nini ila inaonekana kuna kitu.”
Isabela Mpanda.
Baada ya kuipata ishu hiyo, mwandishi wetu alimtafuta Isabela na alipopatikana alisema: “Kweli nilikuwa naenda Zanzibar lakini mbaya ni kwamba sikumuaga, alipopata taarifa kuwa niko bandarini akaja kunichomoa, lilikuwa ni tukio la aibu sana.”
Luteni Kalama.
Kwa upande wake Kala alifunguka kuwa, alifikia uamuzi wa kwenda kumrudisha baada ya kusikia anaenda kushuti filamu Zanzibar bila kumtaarifu hivyo akaona huko ni kuchezewa sharubu.

SHILOLE ARINGIA ‘UPAJA’ WAKE KWA MABUZI!

Msanii wa muziki ambaye katika siku za hivi karibuni ameonekana kuvuma, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ alijitapa kuwa na paja la haja huku akidai ni sehemu ya mwili inayomfanya awe na mvuto na kuwadatisha wanaume.
Zuwena Mohammed ‘Shilole’.
Katika tukio la hivi karibuni ndani ya Ofisi za Global Publishers, Mwenge Bamaga jijini Dar, alipofika kwa ajili ya mahojiano na msanii huyo alitakiwa kupozi ili apigwe picha lakini cha ajabu alipandisha juu kigauni chake na kuonesha kipensi kifupi alichokuwa amevaa huku akidai ana paja la maana hivyo hana sababu ya kulificha.
“Mguu ninao, paja ninalo kwa nini nijifichefiche bwana?” Alisema Shilole na katika mahojiano alidokeza kuwa, mabuzi anayo na lazima ayachune kwani yeye ni mtoto wa kike.

SIMU YA KICHINA YAZUA BALAA KESI YA SHEHE PONDA


SIMU ya Kichina imezua balaa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Jumatano iliyopita wakati wa usikilizwaji wa kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Kiislamu, Shehe Ponda Issa Ponda, Ijumaa linakupa habari kamili.
Baadhi ya wafuasi wa Shehe Ponda, wakijadiliana jambo (katikati) ni Shehe Kitula ambaye simu yake ilizua balaa.
Tukio hilo la aina yake lilitokea baada ya simu ya Kichina ya mmoja wa wafuasi wa Shehe Ponda aliyefahamika kwa jina la Shehe Kitula kuita wakati shughuli za kimahakama zilizopokuwa zikiendelea.
Wakati jaji wa mahakama hiyo, Augustino Mwalija akitahamaki kwa kitendo hicho, askari waliokuwepo mahakamani hapo walimkamata Shehe Kitula anayeswali katika Msikiti wa Masjidi Haki uliopo Buguruni jijini Dar    na kwenda kumhoji.
Wafuasi wa Shehe Ponda wakiwa na shehe Kitula.
Baadhi ya waumini walipinga kitendo cha Shehe Kitula kukamatwa na kutaka kufanya fujo ili asiingizwe kwenye chumba cha mahojiano lakini walitulizwa na wenzao.
Shehe Kitula alipohojiwa na waandishi wetu alikiri kuchanganywa na simu hiyo baada ya kusahau kuizima alipoingia mahakamani hapo.
Wafuasi wa Shehe Ponda wakipanga mikakati nje ya mahakama.
“Nilisahau kuizima simu, polisi walikuwa na haki ya kunikamata kwa kuwa sheria hairuhusu kelele mahakamani,” alisema shehe huyo.
Kesi ya msingi, Shehe Ponda anashtakiwa na serikali kwa kosa la kutoa lugha za uchochezi alipokuwa akihutubia moja ya mikutano yake ya hadhara mjini Morogoro mwaka jana.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Februari 26, mwaka huu ambapo mwanasheria wa serikali atatakiwa kujibu hoja za mwanasheria wa Shehe Ponda, Juma Nassoro.
Wakati huo huo, Jaji Mwalija anaweza kumpa dhamana Shehe Ponda au kumnyima.

PATA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013

KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 INGIA: HAPA

WAKUBWA TU..MUME AFUMA PICHA KIBAO ZA UT*PU ZA MKEWE KWENYE SIMU YA BOSI WAKE...!JIONEE HAPA..!


Dalitso Muweso(35) anayeishi na mkewe bibie Madaliso Kambwiri(32),Jana alizifumania picha za mkewe huyo kwenye usb-disk(flash) ya Boss wake ofisini baada ya kutumwa kwenda kuprint documents muhimu za Boss huyo.

Chanzo chetu cha Udaku kutoka Kenya(Wambui---Fan wa Udakubiz),kinasema kuwa Wanandoa hao ambao Ndoa yao imeingia Mwaka wa Tatu hivi karibuni,walikuwa wanaishi kwa furaha na Amani kiasi kwamba Mtaa mzima walikuwa wanawaonea wivu .

Inasemekana kuwa ilikuwa sio jambo rahisi kwa wanafiki na wambea kuongea uongo wowote either kwa Mume au Mke,kwani wanandoa hao walikuwa Wanapendana na kuaminiana na kila Mmoja alionyesha uaminifu kwa mwenzie.

Lakini Wahenga wenye Busara zao tokea shule ya msingi walishawahi kusema kuwa "Njia ya Muongo,ni Fupi",Pamoja na Mume wake kumuamini mpaka mwisho,lakini inasemekana kuwa Mwanamke huyo alikuwa sio Mwaminifu kwa mumewe,NA chanzo cha kumsaliti Mumewe ilikuwa ni kipato kidogo alichokuwa nacho mumewe.

Jana Wakati mumewe akiwa kazini,akapigiwa simu na Bosi aende ofisini,alipofika Bosi akampa flash akamuomba aende akaprint important documents kwa sababu alimtuma Secretary wake akamchukulie Breakfast kwenye Mgahawa uliokuwa mbali kidogo na Ofisi hizo,Zile Documents zilikuwa zinatakiwa kutumwa haraka kwenye email na secretary alikuwa anachelewa kurudi.

Jamaa akachukua,akaenda kwenye Internet cafe ambayo ipo nje kidogo,ilipochomekwa flash akakuta kuna mafolder mawili,moja limeandikwa 'Secret' lingine limeandikwa 'Confidential',akasahau kuwa aliambiwa kuwa documents zipo kwenye folder la confidential,yeye akafungua lililoandikwa 'Secret' ndipo hapo alipokutana na hizi picha za mkewe.

Bado mpaka sasa hatujajua kilichotokea kwenye Ndoa hiyo,Mdaku wetu wambui atafuatilia kisha tutawafahamisha.

WAKUBWA TU. KUCHEKI PICHA HIZO. BOFYA HAPA
- See more at: http://onelovetz.blogspot.com/2014/02/wakubwa-tumume-afuma-picha-kibao-za.html#sthash.JeS8snR7.dpuf

BOSS ABAMBWA AKIFANYA MAPENZI OFISINI NA SECRETARY WAKE




Nakereka sana na baadhi ya wafanyakazi wanaotumia ofisi zao kufanya mapenzi. Wanakaa muda mrefu wakisubiri wenzao watoke ofisini wala hawaangalii kama wanyakazi wengine wapo

Hii Ndo Tamaa ya Matako Makubwa Iliyomuua Msanii wa Hip Hop


NewsImages/5405150.jpg
Claudia Aderotimi enzi za uhai wake

Msanii mmoja wa Hip Hop wa kike anayechipukia wa Uingereza amefariki dunia baada ya kujidunga sindano ya kuongeza makalio ili aweze kutamba kwenye anga za muziki kama kina Beyonce au Jennifer Lopez.
Kwa wale dada zetu wanaotamani kuwa na makalio makubwa na kuamua kujidunga sindano za kuongeza makalio basi wajifunze kutokana na habari hii ya mrembo wa Uingereza aliyezaliwa Nigeria mwenye umri wa miaka 20, Claudia Aderotimi ambaye amefariki wiki hii baada ya kudungwa sindano za kuongeza makalio.

Claudia alitamani kuwa na makalio makubwa ili yaweze kumuongezea jina kwenye anga ya muziki wa Hip-hop kama wanavyotamba kwa makalio yao Beyonce na Jennifer Lopez.

Mbali ya usanii wa muziki Claudia alikuwa pia na ndoto ya kuwa msanii mkubwa wa maigizo na mcheza dansi kwenye video za muziki.

Claudia aliamua kuongeza ukubwa wa makalio yake baada ya kutimuliwa kwenye dili la kudansi kwenye video ya msanii mmoja wa muziki nchini Uingereza.

Taarifa zilisema kuwa Claudia alipata dili la kudansi kwenye video ya muziki, siku ya kwanza alienda akiwa amesunda nguo kwenye makalio yake ili kuyafanya makalio yake yaonekane makubwa.

Siku hiyo alipokelewa vizuri na alitamba kwenye maandalizi ya video hiyo lakini alipogundulika kuwa alikuwa akiweka nguo kuyafanya makalio yake yaonekane makubwa alitimuliwa na kuambiwa asirudi tena.

Ili kuzitimiza ndoto zake za muziki, Claudia alisafiri kutoka London hadi Philadelphia, Marekani ili aweze kudungwa sindano za kuongeza makalio ambazo zilimgharimu dola 2000.

Claudia alidungwa sindano hizo ambazo zimepigwa marufuku nchini Marekani ndani ya hoteli moja mjini humo.

Muda mfupi baada ya kudungwa sindano hizo, Claudia alilamika maumivu makali kifuani na alipowahishwa hospitali alifariki.

Polisi nchini Marekani wanamtafuta daktari feki aliyemdunga Claudia sindano hizo huku wakiwa tayari wameishamtia mbaroni mwanamke anayedaiwa kulifanikisha dili la Claudia kusafiri kutoka Uingereza kwenda kwenye hoteli hiyo kuongeza makalio yake.

"Tumemhoji mwanamke aliyekuwa akiwasiliana kwa email na Claudia kufanikisha Claudia kuja hapa", alisema msemaji wa polisi na kuongeza "Kwa sasa

Azimia Baada ya Kuona Video za Ngono za Mkewe Online


NewsImages/6363366.jpg

Mwanaume mmoja wa nchini Misri alizimia baada ya kuona video za ngono za mkewe kwenye tovuti za ngono baada ya kuzitembelea tovuti za ngono kwa mara ya kwanza alipoenda internet cafe.
Mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina la Ramadhani alizimia ndani ya internet cafe baada ya kushuhudia video za ngono za mkewe kwenye tovuti ya ngono.

Ramadhani alienda kwenye internet cafe kwenye mji wa Dakahlia uliopo kaskazini mashariki mwa Misri, akiwa na nia ya kuchungulia tovuti za ngono kwa mara ya kwanza katika maisha yake.

Katika pitapita zake kwenye tovuti za ngono, alikumbana na video 11 zinazomuonyesha mkewe akiliwa uroda live bila chenga na mwanaume mwingine.

Ramadhani alizimia ghafla ndani ya internet cafe alipozinduka aliwahi nyumbani kwake kwenda kumbana mkewe kuhusiana na kusialiti ndoa yao.

Mkewe awali alipinga kufanya hivyo lakini baadae alikiri kutengeneza video hizo na mpenzi wake wa zamani huku akiwa tayari kwenye ndoa na Ramadhani.

Kali ya yote mkewe alimuambia Ramadhani kuwa hakuwahi kumpenda katika maisha yao ya ndoa ingawa wamejaaliwa kupata watoto wanne.

"Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza katika maisha yangu kuangalia video za ngono, niliamua kuziangalia video za ngono kutokana na shauku ya kutaka kujua zikoje", alisema Ramadhani.

"Alikanusha mwanzoni nilipomuuliza, nilipomuonyesha video hizo alikiri kuwa yuko kwenye penzi moto moto na mpenzi wake wa zamani akidai kuwa mpenzi

VIDEO: HII SASA NI LAANA, MAMA AFANYA MAPENZI MBELE YA MTOTO WAKE..MTOTO ABAKI KUITA "MAMAA MAAA"

Written By Unknown on Friday, February 21, 2014 | 11:46 PM


Ni tukio  la  aibu   na  lenye  kuumiza  mno  lililotendeka  mbele  ya mtoto  mdogo .
Huyu  ni  mama  wa  kizimbambwe  ambaye  alikuwa  akifanya  “mapenzi  ya  kuiba”.. ..Hapa  namaanisha  alikuwa  “akisaliti”  na ndo  maana  wamediriki  kutenda  uchafu  huu mbele  ya  mtoto.
Katika  video  hii, mtoto anaonekana  akiambaa  kitandani  huku  akilia  na kuita  “mama..!….”mamaa!.Mbaya  zaidi  ni  kwamba,  mtoto  huyu  hakusikilizwa  na badala  yake  waliendelea  kungonoka…!!!

Baada  ya  mtoto  kuona  hawamjali, aliamua  kujikokota  na kusogea  kidogo huku  akilia…Cha  kuumiza  ni  kwamba, mtoto  alinyanyua  mkono  wake  wa  kushoto  na  kushika  kichwa  huku  akimshuhudia  mama  yake  akingonoka……

PICHA 15 ZA UTUPU,ZA WASANII MBALIMBALI HAPA NCHINI..NI AIBU/MMOMONYOKO WA MAADILI

 MARTINA
   UWOYA   

ROSE NDAUKA  NA MAYAAMA kweli dunia imekwisha!


KUMBU KUMBU  YA SAKATA  HILO LA AIBU.


...kulia kwake ni unga..bila shaka ulimpotezea kumbukumbu

Tarehe 18  may, 2010 tangu picha hizi zianze kusambaa mitandaoni,Aisha alifunguka  kuwa  picha hizi ni za kutengenezwa.

Mtandao wa Global publisher ulimtaka Asha awathibitishie watanzania kuwa picha hizi si zake lakini alishindwa kuthibitisha  kuwa picha hizo ni za kutengeza, zilitengnezwa wapi na lini na vigezo gani vinavyoonesha picha hizo ni za kutengeneza.

Ushahidi wa Global kuwa, picha hizo ambazo za mnato na video ni za Aisha mwenyewe upo wazi na hakuna shaka yoyote.NI TAMAA ZA   WASANII  WA BONGO NA ULIMBUKENI WAO.

Mume mlevi mwaminifu kwa ndoa yake

crazy drunk man
Loyal Husband


Husband comes home drunk and breaks some crockery, vomits and falls down on the floor. Wife pulls him up and cleans everything.

Next day when he gets up he expects her to be really angry with him. He prays that they should not fight. He finds a note near the table.

"Honey, your favorite breakfast is ready on the table, I had to leave early to buy groceries. I'll come running back to you, my love. I love you.

Surprised, he asks his son, "What happened last night?"

Son replies, "When mom pulled you to bed and tried removing your boots and shirt. You were dead drunk and you said,

"Hey Lady! Leave Me Alone. I AM Married!!!"

Kama Katika list Hii Kuna jambo limekutokea Basi Ujue wewe una mikosi!

















(1)Umeajiriwa kazi na k
utimuliwa baada ya siku 30 bila malipo.
(2)Una-download kitu kinafika 99% kina-fail.
(3)Umenunua simu leo laki 3,kesho inaporomoka bei mpaka laki moja na nusu.
(4)Umetumia pafyumu kali lakini bado mwili wako unatema.
(5)Gari lako linakaa muda mwingi kwa fundi kuliko barabarani.
(6)Umesajiliwa kama beki katika timu fulani,mtihani wako wa kwanza ni kumkaba messi.
(7)Panya katafuna cheti chako cha chuo sehemu ya jina lako tu!

Hizi ndizo Faida na hasara za kutumia miwa

Nimekuwa ni mtumiaji wa miwa kwa muda mrefu sasa naomba kufahamishwa faida na hasara za miwa. Nawasilisha karibuni kwa maoni na ushauri.




MAJIBU: miwa ni jamii ya tunda lenye alkali hivyo lina uwezo wa kupambana na saratani hasa ile ya kibofu cha mkojo na saratani ya maziwa.

Inafurahisha kuona kuwa wapo wafanyabiashara wengi jijini Dar es Salaam wanaouza juisi ya miwa.

Kimsingi juisi hii ni sukari halisia ambayo haijachakatwa. Sukari halisia ni nzuri kwa mwili kwani ina

virutubisho na madini kwa wingi.

Miwa ina faida nyingi kiafya. Juisi ya miwa inafahamika na wataalamu wa afya kwa kuwa na uwezo wa kuupa mwili nguvu kwa sababu ya ‘glucose’ iliyopo.

Kijiko kimoja cha juisi ya miwa, kina kalori 11. Madini halisi na vitamin zinazopatikana katika sukari ni kama phosphorus, calcium, madini ya chuma na potassium.

Si hivyo tu, miwa ni jamii ya tunda lenye alkali hivyo lina uwezo wa kupambana na saratani hasa ile ya kibofu cha mkojo na saratani ya maziwa.

Miwa ina upekee wake kwani ina uwezo wa kuongeza maji mwilini, inaupooza mwili na kuupa nguvu.

Virutubisho vilivyopo katika miwa vina manufaa makubwa katika kusaidia utendaji kazi wa ogani muhimu kama figo, moyo, ubongo na viungo vya uzazi.

Pia, wagonjwa wa kisukari wasihofie sukari iliyopo kwenye miwa kwani haina madhara yoyote kwao. Uzuri wa juisi ya miwa ni kuwa sukari yake ni halisia.

Je unasumbuliwa na chunusi usoni Kwako?


TATIZO la kutokwa na chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hushambulia sehemu za usoni na kuharibu sura ya mwanadamu hasa wanawake.



Ugonjwa huu umekuwa ukiwachukiza baadhi ya wanawake na wanaume kutokana na kuharibika kwa uso wao na matokeo yake kujikuta wakienda kununua vipodozi vyenye kemikali kali ambazo ni hatari kwa afya ya ngozi zao.


Vipodozi hivyo ni hatari kwani vingine huweza kuchubua na kusababisha ngozi kukosa kinga,hivyo kuleta madhara makubwa mwilini.

Chunusi huwatoka na kuwasumbua watu wengi hasa vijana wenye umri wa kubalehe lakini pia hushambulia hata watu wazima.


Ukitokwa na chunusi maana yake una mchanganyiko wa magonjwa tofauti ya ngozi sehemu za usoni kwani vipele vidogo vinavyotoka husababisha maumivu na muwasho kwa muathirika.
Vipele hivyo baadaye hutunga usaha na kuwa chunusi ngumu.


Kitaalamu ili mtu awe na chunusi kuna vijidudu hushambulia vitezi vya ngozi ya uso vijulikanavyo kwa jina la Pilosebaceous na Sebaceous gland.


Tezi hizi hutoa mafuta mengi usoni na yakizidi huwa chakula cha vijidudu (bacteria)wanaokaa kwenye ngozi na kusababisha uingiaji wa vidudu hivyo kwenye hizo tezi na kusababisha chunusi.


Chunusi hutokea baada ya tezi za Pilosebaceous kuziba (obstruction), huzibwa na mgando wa mafuta ya usoni na kusababisha wadudu kuingia kwenye tezi za usoni ambapo wadudu hao hushambulia ngozi ya usoni.



Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujitokeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu yaani Bacteria.



Kwa lugha ya kidaktari chunusi huitwa Acne Vulgaris.Chunusi ndio ugonjwa wa ngozi ambao humwathiri binadamu kwa kiasi kikubwa kwa mfano nchini Marekani pekee huathiri watu zaidi ya milioni kumi na sa-ba..
Chunusi huweza kujitokeza katika umri wowote lakini huathiri sana vijana hasa wa-kati wa balehe (adolescents) .

Karibu asilimia 85 ya vijana kati ya umri wa miaka 12 hadi 25 hupata chunusi na zaidi ya asilimia 20 ya wanawake wenye umri wa zaidi ya miaka ishirini hupata chunusi wakati mwingine hata watoto wadogo pia huweza kupata chunusi hii ni tofauti na watu wengi wanavyofikiria kuwa chunusi ni dalili ya balehe.

Chunusi ni ugonjwa unaoathiri vifuko au glandi za ngozi.Katika ngozi ya binadamu kuna glandi ziitwazo Sebaceous ambazo zipo chini ya ngozi na kazi yake kubwa ni kutoa mafutamafuta

yaitwayo Sebum ambayo hu-saidia kuiweka ngozi kuwa nyevu na yenye mvuto.
Wakati wa balehe mwili wa binadamu hutoa Sebum kwa wingi na kwa sababu wakati huu vikemikali

vya mwili yaani sex hormones hutolewa kwa wingi hasa hormone ya kiume iitwayo androgen husababisha utoaji wa sebum kuwa mwingi zaidi kuliko kawaida. Sebum inapotolewa kwa wingi huungana na seli za ngozi zilizo-kufa na kutengeneza mchanganyiko mzito kama nta uitwao comedo ambao huziba vishimo vya kutolea joto.

Maambukizi zaidi hutokea pale ambapo vijidudu yaani baktaria vinaposhambulia vishimo vilivyoziba hapo kivimbe ambacho watu wengine huita Pimple hujitokeza pale ambapo Sebum, bacteria, seli za ngozi na seli nyeupe za damu zinapo-changanyika na kujikusanya katika vishimo vya jasho vilivyoziba na eneo husika hupata vivimbe au vipele ambavyo tunaviita chunusi.



Ukubwa wa kipele hutegemea ngozi ya mtu au kiasi cha mchanganyiko nilioeleza hapo juu katika eneo husika.Vipele vinaweza kuwa vidogo au vikubwa. Chunusi wakati mwingine husababisha mabaka katika ngozi hali hii hutokea pale ambapo seli za ngozi zilizoharibika huondolewa na seli mpya kutengenezwa.

Ngozi mpya hutengenezwa kirahisi tu mahali palipokuwa na chunusi hali hii husababisha mlingano usiosahihi wa ngozi na hutoa kidonda ambacho baadaye hubaki kama baka. Chunusi hutokea zaidi katika uso,kifua ,mabega na mgongoni kwa sababu maeneo hayo yana vifuko au glandi za Sebaceous nyingi.

CHANZO CHA CHUNUSI
Chanzo halisi cha chunusi hakijulikani.hata hivyo baadhi ya vitu vinavyoongeza uwezekanifu wa kupata chunusi ni;

1. UMRI – Kama nilivyosema hor-mone/vikemikali hutolewa kwa wingi sana mtu anapofikia umri wa kubale-he.Kemikali hizi huongeza utengenezaji wa nta (sebum) katika ngozi ambayo huchochea kutokea kwa chunusi

2. VIPODOZI –Baadhi ya vipodozi kama Make-up za kina dada na Sprays za ny-wele zina mafuta ambayo yanaweza kusababisha chunusi kuwa nyingi zaidi.

3. CHAKULA- Chunusi hazisababishwi na chakula bali baadhi ya vyakula hufan-ya chunusi kuwa nyingi zaidi.

4. DAWA-Chunusi zinaweza kujitokeza kutokana na kutumia dawa kadhaa kama vile antibiotics,Vidonge vya uzazi wa mpango,steroids na tranquilizers.Steroid ni dawa zenye homoni zilizotengenezwa kitaalamu ambazo wakati mwingine wanariadha huzitumia tofauti na ma-kusudio ili kuongeza unene wa misuli yao.

5. MAGONJWA- Magonjwa yatokanayo na matatizo katika vikemikali (hormonal disorders) huongeza matatizo ya chunusi hasa kwa wasichana.

6. MAZINGIRA- Chunusi huweza kuwa nyingi zaidi hasa unapoishi mazingira yenye mafuta,grisi au hewa chafu .Kutoa jasho sana hasa katika mazingira ya joto huongeza uwezekanifu wa kupata chunusi.

7. JINSIA-Wavulana hupata sana chunusi kuliko wasichana.
8. FAMILIA- Wakati mwingine chunusi hujitokeza sana kwa wanafamilia wa familia kadhaa kuliko nyingine.

9. HOMONI- Mabadiliko ya homoni za mwili hasa wakati mwanamke akiwa katika siku zake,ujauzito au mwanamke anapokuwa na umri mkuwa hupelekea kupata chunusi.

10. USAFI WA MWILI- Kutumia sabuni zenye kemikali,kujisugua sana na kuzitoboatoboa chunusi au vipele hu-sababisha chunusi kuongezeka zaidi.Kukaa muda mrefu na jasho mwi-lini au kutooga huongeza uwezekanifu wa kupata chunusi

11. MAWAZO AU STRESS-Mtu anapokuwa na mawazo mengi vimkemikali kadha hutolewa mwilini ambavyo huwe-za kuchangia au kusababisha chunusi

DALILI ZA CHUNUSI
Vipele au vivimbe vidogo vidogo ambavyo pengine husababisha mwasho au vinavyouma ni dalili ya chunusi.


Wakati mwingine huweza kujitokeza kama baka dogo na wakati mwingine mtu anaweza utambuzi wa chunusi unaweza kuwa mgumu kutokana na watu walivyomakini au wanavyojenga wasiwasi kubwa katika mwonekano wao hasa usoni.Ikumbukwe kuwa kutokana mwonekano wa chunusi ni rahisi sana


Daktari kuzigundua, japokuwa katika familia zetu ni mara chache sana mtu akaenda kumwona daktari au mtaalamu wa magonjwa ya ngozi kwa sababu ya chunusi.


Pale inavyotokea hivyo basi hali inakuwa ni mbaya zaidi.Hata hivyo si vibaya kumwona daktari ambaye atakuuliza kuhusu chakula, ngozi, dawa unazotumia na vitu vingine vinavyowe-za.kuchangia mtu kupata chunusi

MATIBABU
Matibabu ya chunusi yanajumuisha kupunguza utoaji wa anta (sebamu ), kuondoa seli za ngozi zilizokufa na kuua wadudu yaani bacteria.
Matibabu huweza kutofautiana kutokana na wingia au ukubwa wa tatizo. Suala la kuzingatia ni kuepuka mambo yanayoweza kusababisha chunusi kama nilivyoeleza hapo juu.

DAWA ZA KUPAKA
Kuna dawa za kupaka ambazo hupaka katika eneo la ngozi lililoathirika kwa chunusi. Dawa hizi hupatikana kama cream,lotion,gel au pad.
Dawa hizi hutumika kutibu chunusi ambazo haziko katika hali mbaya hasa kama kuna vijipele vidogo vidogo tu.

Mojawapo ya dawa hizi ni antibi-otic kama zenye mchanganyiko wa gentamyicin na betamethasone au dexame-thasone kama vile Gentrisone au Gentriderm cream,Erythromycin,B-Tex na kadhalika.Pia

Persol forte Gel husaidia hasa ukianza na asilimia ndogo (2.5%) na kuen-delea kadri ngozi yako inavyohimili dawa.
Gentamycin huua wadudu wanaosababisha chunusi wakati dawa nyingine huondoa mwasho.


Dawa nyingine ni zile zinzolainisha nta au Comedolytics na kufanya vishimo vya jasho kufunguka na dawa nyingine huongeza kasi ya utengenezwaji wa seli mpya za ngozi

Dawa hizi za kupaka hushauriwa kupakwa angalau mara mbili au tatu kila siku hasa baada ya kusafisha kwa maji safi na sabuni ya kawaida na kukausha kwa taulo eneo lenye chunusi na matibabu yanaweza kuchukua wiki kadhaa.

DAWAZA KUMEZA
Wakati mwingine daktari anaweza kumshauri mgonjwa kutumia dawa za kumeza kulingana na wingi au ukubwa wa tatizo.

Dawa kama antibiotics huua wadudu na huzuia chunusi ,dawa hizo ni kama vile Erythromycin topical, Accutane (isotret-inoin), Benzamycin Cleocin T (clindamycin phosphate), Desquam-E (benzoyl peroxide) Minocin (minocycline hydrochloride) na

”Si vema kujinunulia mwenyewe tu na kuanza kutumia bila ushauri wa daktari au mtaal-amu wa magonjwa ya ngozi.”

Wanawake wenye chunusi zisizotibika wanaweza kupewa Anti-androgens kama vile baadhi ya vidonge wa uzazi wa mpango.Chunusi sugu hutibiwa kwa ciorticosteroids na anti-iflammatory drugs ambazo hutibu chunusi sugu ambazo huitwa Acne fulminans na hupatikana zaidi kwa vijana.

MATIBABU MENGINE
Kwa nchi zilizoendelea matibabu yanaweza kuwa hata upasuaji mdogo (skin grafting) au plastic surgery kama chunusi imesaba-bisha baka kubwa na kuna njia kama vile Chemical peel ambapo kemikali hupakwa kwenye ngozi na inapokauka kipande au gamba la juu la ngozi huondolewa na kuondoa baka.

MATIBABU MBADALA
Haya hujumuisha lishe bora na usafi wa mwili.Ni vema kuoga mara kwa mara na kujifuta maji kwa taulo safi na kuiweka ngozi katika hali ya ukavu nakuepuka upakaji wa mafuta mengi ya mgando hasa wakati wa joto.
Watu wenye chunusi wanashauriwa kulAa mlo kamili wenye vyakula vyenye madini ya zinki,nyuzinyuzi, matunda, mboga za ma-jani,vitamin B complex na Chromium.
Ni vema kuepuka au kupunguza matumizi ya pombe,vyakula vya maziwa, tumbaku, sukari, vyakula vilivyoandaliwa viwandani na vyakula vyenye Iodine nyingi kama vile chumvi

MUHIMU
Chunusi haziwezi kutibika kabisa japokuwa iwapo matibabu Yatakuwa sahihi watu 60 kati ya 100 hupona na unapokuwa unatumia dawa usitarajie kupona haraka kwani inaweza kuchukua hata miezi miwili kupata nafuu na zinaweza kujitokeza unapoacha kutumia dawa.
Chunusi pia huweza kupona kwa kuacha mabaka ambayo kwa hapa nchini hakuna utaalamu sahihi wa kuyaondoa bali huweza kuondoka kadri muda unavyoenda au kwa kemikali kali ambazo zinaweza kuwa na madhara katika ngozi.

MAMBO YA KUFANYA ILI USIPATE CHUNUSI
Hakuna njia sahihi ya kujizuia ila unaweza kufanya yafuatayo;
1. Osha taratibu sehemu unayodhani ina chunusi kwa maji safi na sabuni angalau mara mbili kila siku huku ukisugua taratibu ,usikwaruze kwa kucha au kitu choichote kigumu.
2. Tumia make-up au vilainisha ngozi visivyo na mafuta mgando

3. Osha nywele zako kila mara na epuka nywele kuziba uso (kwa wenye nywele ndefu)
4. Kula mlo kamili na epuka vyakula vyenye mafuta mengi.
5. Usibinye au kutoboa vipele kwa pini au kitu chenye ncha kali.
6. Epuka kukaa sana juani,mwanga wa asubuhi ni mzuri ili kupata vitamin D

7. Punguza mawazo

Mambo 10 unayoyafanya yanayo haribu figo lako mwilini

Hukojowi mapema mkojo ukikushika


Hunywi maji ya kutosha


unakula chumvi sana kwenye chakula.


Hujitibu magonjwa ya kawaida kwa haraka na vizuri


Unakula nyama sana


Huli chakula cha kutosha


Unatumia Vidonge vya kukata maumivu kwa wingi


Huli kwa wingi vayakula vya virutubisho


Unakunywa pombe kupita kiasi


Hupumziki vya kutosha.



HUYU NDO MSANII BONGO MUVI ALIENASWA MAWINDONI AKIJIUZA

Stori: Waandishi Wetu
ILE skendo ya kukithiri kwa baadhi ya mastaa Bongo kujiuza imechukua sura mpya kufuatia msanii wa Bongo Movies, Isabella Francis ‘Vai wa Ukweli’ naye kunasa mtegoni, Ijumaa lina kisa kizima.
Vai wa Ukweli akiwa mawindoni.
Tukio hilo la aibu kwa tasnia ya sinema nchini lilijiri usiku wa kuamkia Jumanne iliyopita, Sinza ya Vatican jijini Dar es Salaam ambapo baada ya kuumbuka, Vai alijikuta akiangua kilio na kuomba siri hiyo isisambae.
VAI WA UKWELI NI NANI?
Vai ni msanii wa filamu za Kibongo kwa muda mrefu. Amecheza filamu kadhaa zikiwemo Beautiful Liar (ya kwake mwenyewe), Family Apart, Good Fellow na nyinginezo.
Vai wa Ukweli akificha uso wake baada ya kunaswa.
MALALAMIKO KWA OFM
Ikiwa katika kutega ‘rada’ zake, Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ilipokea malalamiko ya listi ya wasanii wa kike wa Bongo Muvi wakidaiwa kujishughulisha na uuzaji wa miili huku jina la Vai likiwa miongoni mwao.
MCHEZO WAANZA
Kilichofanyika, Vai aliwekewa mtego na kujikuta akiingia mzimamzima. Fuatilia uhondo wa mawasiliano kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno (SMS, tunazo):
OFM: Mambo Vai? Naitwa Salum, natokea Arusha ila kwa sasa nipo Dar, naomba kuonana na wewe.
Vai: Ili?
OFM: Kusema kweli nimetokea kukupenda, nimetafuta namba yako nikaipata nikaona nikutafute.
Vai: Muda sina.
OFM: Please usiniangushe, nitakupa chochote utakacho, nakuomba.
Vai: Nani kakupa namba yangu?
OFM: Sijakuelewa.
Vai: Umetumwa wewe, siyo bure.
OFM: Hivi mtu unaweza kutumwa kumpenda mtu jamani? Usinifanyie hivyo, nipe hiyo nafasi Vai, utafurahia.

ANAINGIA, ANATOKA
Vai: Oke, kwa nafasi umechelewa maana boy ninaye. Kwani umefikia wapi?
OFM: (OFM yamdanganya) niko hoteli moja inaitwa Lunch Time hapa Tip Top Manzese (Dar), wewe uko wapi?
Vai: Mwananyamala (Dar), njoo nikuone.
OFM: Nimekuja huku Kariakoo kufungasha mzigo, we huwezi kuja pale hotelini baadaye? We si ni mwenyeji sana Dar?
Vai: Siwezi.
OFM: Sa tunafanyaje wangu? Nitaumia sana kama nitaondoka bila kukuona, nakupenda.
Vai: Ndo hivyo ukiweza njoo Mwananyamala.
OFM: Huko mimi ni mgeni wangu, nitalipia gharama zako, usininyong’onyeshe.
Vai: Tuma hela ya Bajaj kwa …(unatajwa mtandao) nitakuja.
OFM: Sawa nitakutumia, ni shilingi ngapi kutoka huko hadi hapa hotelini?
Vai: Kumi na tano tuma.
OFM: Sawa na ofa yako tukionana ni shilingi ngapi?
Vai: Ofa ya nini?
OFM: Si tukionana jamani ili nijiandae nisije nikaumbuka, unajua tena watu kama nyie…
Vai: We sikuelewi kwani kuna nini tofauti, kuonana umetaka nimekubali bado unaongea tofauti.
OFM: Tofauti vipi jamani?
Vai: Unazingua.
OFM: Nazingua vipi?
Vai: Tuma hiyo hela nije.
OFM: Pesa ya kujia siyo ishu, natuma twenty (20,000), nataka kujua shilingi ngapi utataka kuwa na mimi kwa leo ili nijiandae wangu, naomba uelewe.
Vai: Tutaongea usijali.
OFM: Kwa hiyo wangu, niambie basi.
Vai: Usijali nikija tutaongea.
OFM: Nataka ukija nisisumbuke, we niambie tu unataka shilingi ngapi kwa kuwa na wewe leo, nataka nikachukue pesa ATM, we mtu mzima bwana!
Vai: Oke siwezi, achana na mie. By the way mimi sijiuzi.
OFM: Siyo suala la kujiuza Vai, kama unataka nikukose sawa lakini ningefurahi sana, kuwa nawe, acha pesa, nitakupa utakachotaka.
Vai: Siwezi.
OFM: Usinifanyie hivyo utaniumiza.
Vai: Si nimekuambia tuma nauli nije? Tutaongea hujiamini.
OFM: Ujue nakuuliza hivyo ili nijipange hata kama ni kuchukua pesa nichukue za kutosha kwa leo.
Vai: Kama huelewi basi.
OFM: Kama sielewi nini? We niambe tu.
Vai: Milioni.
OFM: Milioni moja?
Vai: Ndiyo.
OFM: Usikomae Vai, nimetumia pesa nyingi kufungashia mzigo, nifanyie fea wangu. Hiyo m moja tutalala?
Vai: Siwezi.
OFM: Huwezi kulala? Sikia, nifanyie laki tano basi, ila itakuwa poa kama tutalala maana mshikaji niliyekuja naye kaondoka leo.
Vai: Kulala siwezi.
OFM: Kwa mfano kuanzia saa moja mpaka saa ngapi hivi naweza kuwa na wewe? Labda nikuambie ukweli, kwa nini nimekutafuta, kuna picha yako niliichukua kwenye gazeti  nikakupenda sana, nikawa namaliza shida zangu, nimekuja Dar ndo nikasema nikutafute unipe live kwa gharama yoyote Vai.
Vai: Kimya.
OFM: Subiri kidogo wangu nakutumia.
Vai: Mh! Kwa nini muda unaenda, kama umebanwa basi siku nyingine.
OFM: Noo please kuna mtu nimemwambia akutumie 15 (15,000/=) sasa hivi wangu, mambo mengine ukija, ukiipata niambie, sawa ee..
Vai: Mh!
OFM: Nini jamani tena?
BAADA YA DAKIKA NANE
Vai: Oke nimekuelewa. Nimeipata
OFM: So unatoka huko saa ngapi? Kwani ni mbali?
Vai: Ndiyo, wewe uko wapi?
Vai: Nikija sitaki uswahili, mie naogopa magazeti, sawa kaka, sasa unanipa changu nafanya kazi yako.
Vai: Nipigie.
Vai: Uko kwa wapi maana mimi nipo Vatican (Sinza, Dar).
KABANG!
Baada ya kuchati kwa muda mrefu bila kujua anaingia mtegoni, hatimaye Vai alifika kwenye Kituo cha Daladala Vatican lakini hakutaka kushuka kwenye Bajaj.
Badala yake alimtaka kachero wetu ambaye ni Salum wa bandia kuingia kwenye usafiri huo kisha akamuongoza dereva kuelekea Baa ya Mawela iliyopo jirani na eneo hilo.
Akiwa amejiaminisha kuwa analamba laki tano yake, Vai alianza kuagiza pombe za bei mbaya huku akisisitiza kupewa chake kwanza ili akampe huduma.

HALI YABADILIKA GHAFLA
Hata hivyo, hali ilibadilika ghafla, hebu fuatilia mazungumzo yao:
Vai: Vipi mbona kama hujiamini? Kabidhi laki tano yangu kieleweke.
Kachero wa OFM: Vai sikiliza, mimi si pedeshee wala mfanyabiashara wa Arusha. Ni kachero wa OFM (Oparesheni Fichua Maovu) ya Global Publishers. Tunafichua uovu ndani ya jamii.
Vai: (huku akihamaki) kaka hebu nioneshe ‘toileti’ zipo wapi hapa?
Kachero wa OFM: Toileti zile pale.
Vai alikwenda toileti ambako alikaa huko takriban dakika tatu. Cha ajabu, alirejea akiwa analia ambapo mambo yalikuwa hivi:
Vai: Unasema wewe ni mwandishi wa Global? Si kweli, nawajua wote ila wewe siyo!
Kachero wa OFM: Unatakiwa kusadiki haya niyasemayo.
Vai: Kama kweli nioneshe kitambulisho.
Kachero wa OFM: (huku akikitoa) hiki hapa.
Vai: Hamna. Kama ni kweli niitie Sifael (Paul) na Erick (Evarist) waje hapa.
Kachero wa OFM: Hakuna shida Vai, twende ofisini Bamaga-Mwenge wamejaa tele usiku huu.
Baada ya kusikia hivyo, Vai alinyanyuka na kwenda eneo la kuegesha magari na kuzua tafrani, ndipo kijana mwingine wa OFM aliyekuwa akilinda usalama wa mwenzake akatoa vifaa vyake vya kunasia matukio ambapo alimrekodi Vai akizua timbwili bila kujua.
Mbele kidogo ya baa hiyo, Vai aliita Bajaj na kumwagiza dereva amkimbize Global Publishers.
Alifika kwenye ofisi za gazeti hili akiwa anahema mithili ya mbogo aliyejeruhiwa ambapo alitulizwa na wahariri waliokuwa mzigoni na kufanya mahojiano:
USO KWA USO NA WAHARIRI
Wahariri: (wakijifanya hawaelewi chochote) nini kimetokea Vai?
Vai: Ninyi mnajua kila kitu. Kwa nini mmeniwekea mtego? Kuna jamaa anadai ni mwandishi wenu, alijifanya mfanyabiashara akawa anawasiliana na mimi.
Wahariri: Mlikuwa mnawasiliana kuhusu nini?
Vai: Alisema sijui aliniona kwenye gazeti akanipenda, amekuja Dar akaamua kunitafuta.
Wahariri: Kukutafuta kwa nini?
Vai: Alitaka akalale na mimi kwa laki tano.
Vai: Tulikubaliana tukutane lakini mimi sikuwa na mpango wa kwenda kulala naye. Nilitaka nichukue hiyo laki tano yake nimpe sababu za ‘kiwanawake’ so nisingefanya naye ngono.
Wahariri: Ina maana huwa unafanya hivyo? Huoni hatari kuchukua fedha ya mtu na kuingia mitini? Huo si ni utapeli? Huogopi kutafutwa na kufanyiwa kitu mbaya?
Vai: Naamini angenielewa tu (kilio mfululizo).
STEVE NYERERE, MTITU
Baada ya Vai kukiri kuingia kwenye mtego wa kujiuza, gazeti hili liliwasiliana na baadhi ya viongozi wao kuwasikia wanalizungumziaje tukio hilo.
Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity alisema: “Tunawafukuza wote mnaowanasa, hawana sifa ya usanii, wanaingia kutimiza ndoto zao za kujiuza. Hawafai Bongo Muvi.”
Naye Katibu wa Bongo Movie Unity, Wiliam Mtitu alifunguka: “Tutakaa kikao tumfukuze Bongo Muvi, ametuchafua sana.”
Mmoja wa mastaa ambaye hakutaka kutajwa jina alidai kuwa umefika wakati kwa mastaa kujilinda wakitajwa warembo kama Wema Sepetu, Jokate Mwegelo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Aunt Ezekiel, Jacqueline Wolper na wengine kwamba siku wakinaswa itakuwa ni aibu kubwa.
WENGINE KWENYE ‘TAGETI’
Listi ya mastaa wanaojiuza kwa mapedeshee iliyopo mikononi mwa OFM ni ndefu, kikosi bado kiko mzigoni kuwanasa.
KAZI NZURI YA OFM
Tangu OFM imeanza kazi yake nzuri ya kufichua maovu, kabla ya Vai tayari ilishawanasa mastaa watatu wa Bongo Muvi, Jacqueline Pentzel ‘Jack wa Chuz’, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ na Baby Joseph Madaha.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Smasher Tz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger