Moja huu mtandao una mambo sana....hasa upande wa kina dada.....kwanzaaa

1.kuna akina dada wako online muda wote kutongoza wanawaume kisha baada ya muda wanaomba pesa ukisema huna...basii ujue utaambulia matusi au hajibu tena meseji zako......

2.kuna wakina mijimama ambao ni watu wazima waoo wako wao online muda wote kutongoza vijana wadogo...na kama pesa waoo ndo wanaongaaa....

3.kuna akina dada wako online muda mwingi waoo ni kutafuta wanaume anakutongoza halafu baadae mnaelewana bei....utampa bei gani...baada ya gemu....

4.kuna akina dada ambao wana muda wote waoo ni vibomu vya vocha tuuu wanakuomba....

5.kuna akina dada wastarabu wao wako kwa ajili ya kutafuta marafiki wazulii wa kuchat na mchumba mzuli......


Hiii ndo badooo usipokuwa makini unakufa huku unajionaaa.....kama kuna mwingine ana ushuhuda wowote ambaye ameshakuwa mwanachama wa badooo