(1)Umeajiriwa kazi na k
utimuliwa baada ya siku 30 bila malipo.
(2)Una-download kitu kinafika 99% kina-fail.
(3)Umenunua simu leo laki 3,kesho inaporomoka bei mpaka laki moja na nusu.
(4)Umetumia pafyumu kali lakini bado mwili wako unatema.
(5)Gari lako linakaa muda mwingi kwa fundi kuliko barabarani.
(6)Umesajiliwa kama beki katika timu fulani,mtihani wako wa kwanza ni kumkaba messi.
(7)Panya katafuna cheti chako cha chuo sehemu ya jina lako tu!