MARTINA
UWOYA

ROSE NDAUKA NA MAYAAMA kweli dunia imekwisha!
KUMBU KUMBU YA SAKATA HILO LA AIBU.
...kulia kwake ni unga..bila shaka ulimpotezea kumbukumbu
Tarehe 18 may, 2010 tangu picha hizi zianze kusambaa mitandaoni,Aisha alifunguka kuwa picha hizi ni za kutengenezwa.
Mtandao wa Global publisher ulimtaka Asha awathibitishie watanzania kuwa picha hizi si zake lakini alishindwa kuthibitisha kuwa picha hizo ni za kutengeza, zilitengnezwa wapi na lini na vigezo gani vinavyoonesha picha hizo ni za kutengeneza.
Ushahidi wa Global kuwa, picha hizo ambazo za mnato na video ni za Aisha mwenyewe upo wazi na hakuna shaka yoyote.NI TAMAA ZA WASANII WA BONGO NA ULIMBUKENI WAO.