Wadau,
kuna taarifa kuwa kuna aina mpya ya Kisonono kisichotibika unayoambaa duniani.
Zamani ilikuwa ukiambukizwa unachoma sindano ya PPF (Penicillin) gonjwa kwisha! Sasa hizo sindano wala antibiotics za aina yotote hazitibu! Si itakuwa balaa ugonjwa huo ukiingia barani Afrika.
Wadau fanyeni ngono kwa usalama ili tuepuke ugonjwa huo balaa.