Home »
» BIG DADDY V AFARIKI DUNIA
BIG DADDY V AFARIKI DUNIA
Written By Unknown on Wednesday, February 19, 2014 | 10:50 PM
Mwanamieleka wa WWE, Nelson Frazier maarufu kama Mabel, Viscera na
Big Daddy V amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo jana Jumanne. Big Daddy V
amefariki akiwa na umri wa miaka 43.…