Zuwena Mohammed ‘Shilole’.
Katika tukio la hivi karibuni ndani ya Ofisi za Global Publishers,
Mwenge Bamaga jijini Dar, alipofika kwa ajili ya mahojiano na msanii huyo alitakiwa kupozi ili apigwe picha lakini cha ajabu
alipandisha juu kigauni chake na kuonesha kipensi kifupi alichokuwa
amevaa huku akidai ana paja la maana hivyo hana sababu ya kulificha.
Home »
» SHILOLE ARINGIA ‘UPAJA’ WAKE KWA MABUZI!