Uongo huu umezidi kuziendesha familia Kwa Nguvu zaidi Na kasi zaidi kuelekea maporomokoni.. Watu Kwenye familia Nyingi wanaishi Kwa kuvumiliana tu lakini kila mmoja ana Machungu Na maumivu Ndani Yao. Watu wamechomoka nje ya njia kuu kusaka faraja Na huku wamevuna karaha Za kushiba ambazo Kama sio Watoto wasiojulikana Wazazi Basi magonjwa au presha zisizoisha.

Mtu anapokuwa Na msongo wa mawazo ya Kifamilia sahau Mtu huyo kuwa Na Maendeleo. ili maendeleo ya Familia yaweze kujengwa, kustawi Na kuchanua lazima pawe Na ndoa nzuri. Nionyeshe ndoa ya Mtu yenye migogoro isiyokoma lakini Mtu huyo kafanikiwa maishani Nami ntakuonyesha alivyo mshirikina au mwizi. Ndoa ya mzalendo wa Kweli asiye mwizi wala mshirikina Yenye migogoro haiwezi kuwa Na maendeleo, hata Kama wana kipato kikubwa wataishia maisha wasiyoyataka.

Wataalam wa sayansi ya mifumo wanasema mawazo ya maisha , ukijumlisha maamuzi ya kimaendeleo, Ndoa, mahusiano au Elimu hufanyika Kwenye chumba kimoja Cha Ubongo. Kama Mtu ana Matatizo mfano ya ndoa au madeni anatumia "space" (eneo) kubwa la Ubongo kuwaza utatuzi wakati Kada nyingine Za elimu Na uchumi zinafinywa sana. Au Kama Mtu Ni mwanafunzi, anahitaji eneo pana Kwa wakati huo Kwenye chumba hicho ili a concentrate Na masomo. Akiweka Mapenzi space ya elimu inapungua sana, Na mpenzi wake Kama atamsumbua Basi atatumia eneo pana zaidi la CHUMBA hicho kimoja Cha Ubongo kuwaza Na elimu itapewa kijinafasi finyu lazima a-Disco Kama yuko elimu Za juu au aporomoke kielimu Kama yuko huko sekondari Na kadhalika.

Hivyo ili Familia imantain ladding success lazima eneo la Mapenzi(Ndoa) lisibughudhiwe. Katika kuvisoma Vitabu vya Dini hasa BIBLIA, Na kukaa Kwenye industry hii Kwa Muda mrefu, mnamo miaka minne iliyopita niligundua Misingi Mikubwa Mitatu ya Ndoa.. Na nimekuwa nikiifundisha Na Kwa Muda wa miaka minne kila Aliyeielewa sawasawa amekuwa Na mafanikio makubwa Kwenye Ndoa.. Nitaje Kwa Kifupi hapa

1:- KUAMBATANA:- msingi huu unaelezea Kuwa pamoja, mwili mmoja. I mean all the time kuwa close. Simu ya Mume Ni simu ya Mke. Siri ya Mume Ni ya Mke maana Ni Mwili mmoja so mambo yote ya Mwili Ni mamoja. Hapana Mke anafanya Kazi Mbeya Mume Iringa.. No.. Hapana Mume Kwenda masomoni out mwenyewe no. .. NASEMA kila siku kama unataka kusoma manchi Mia si ukasome kwanza utaoa tu ukimaliza.. Ndoa watu wengine wanasema Ni pingu Za Maisha so all time mtembee Kama watu wawili waliopigwa pingu. Hapana mama kutangulia hom kupika no wote muwe pamoja. Kutengana Ni kumpa nafasi mume aanze mambozake au Mke.

2:- KUTOKUNYIMAMA:- Kwenye Masuala ya Sex huna amri juu ya Mwili wako but Mwenzio. Mwenzio akikutaka popote mpe, Kwenye bustani, jikoni, Kwenye Gari, shambani any time hata mkikamatwa si mnajitea Mke Na Mume Na Vyeti mnavyo.. Watu wengi hawalijui hili Hakuna pahala imeamriwa Mapenzi Ni kitandani tu.. Mambo mwenzio anakutaka unaleta Visababu Ni kosa kubwa Na dhambi mbaya sana .. Yeye sio chizi kukutaka that Time.. Mpe sio Yako Ni Yake.. Yako iko kwake..

3:- UTII Na UPENDO:- Mke Ni kutii Kwa Mume wake Na Mume Ni Kupenda..