Home » » haka kabinti kana matatizo gani aisee???

haka kabinti kana matatizo gani aisee???

Written By Unknown on Thursday, February 20, 2014 | 10:06 PM




















hata kama ni mapenzi!!!


aisee mwenzenu nimesimamishwa na bumbuwazi nimeshindwa kujielewa!!

aisee sijui ameshikwa na nini huyu binti!! ama ndio nimenyang'nyanywa mwenzenu??

ok, ni kwamba, nimekuwa na mahusiano ya short time na binti mmoja hivi pande flani za mwanza kwa muda wa miezi miwili, sasa baada ya time ku-expire, imenibidi nirudi bongo kuendelea na skonga. sasa cha ajabu leo nimempigia simu kama mara nne hivi, simu haikupokelewa!! mie nikadhani labda yuko na shughuli anafanya!

baada ya dakika tano, sms ikaingia kwa simu yangu kutoka kwa yule kigori inasema '' wewe nani''?

ohooo, mie nikashangaa, nikamuuliza baby ina maana hunijui? mimi ni fulani..!! niko sehemu fulani!

yeye alichonjibu ni kwamba, tafadhali usinisumbue, mimi sikujui kaka!!

kwa kweli nimesikitishwa sana na huyu mdada, alikuwa ni mbinti mwenye heshima sana mbele yangu always,

wadau, nini kinaweza kuwa kimembadilisha!!? ama inaweza kuwa ni kimimba kimempata huko??

ushauri wenu tafadhali!
Share this article :
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Smasher Tz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger