![]() | Mwanaume mmoja wa nchini Misri alizimia baada ya kuona video za ngono za mkewe kwenye tovuti za ngono baada ya kuzitembelea tovuti za ngono kwa mara ya kwanza alipoenda internet cafe. | |
Mwanaume
huyo aliyejulikana kwa jina la Ramadhani alizimia ndani ya internet
cafe baada ya kushuhudia video za ngono za mkewe kwenye tovuti ya ngono. Ramadhani alienda kwenye internet cafe kwenye mji wa Dakahlia uliopo kaskazini mashariki mwa Misri, akiwa na nia ya kuchungulia tovuti za ngono kwa mara ya kwanza katika maisha yake. Katika pitapita zake kwenye tovuti za ngono, alikumbana na video 11 zinazomuonyesha mkewe akiliwa uroda live bila chenga na mwanaume mwingine. Ramadhani alizimia ghafla ndani ya internet cafe alipozinduka aliwahi nyumbani kwake kwenda kumbana mkewe kuhusiana na kusialiti ndoa yao. Mkewe awali alipinga kufanya hivyo lakini baadae alikiri kutengeneza video hizo na mpenzi wake wa zamani huku akiwa tayari kwenye ndoa na Ramadhani. Kali ya yote mkewe alimuambia Ramadhani kuwa hakuwahi kumpenda katika maisha yao ya ndoa ingawa wamejaaliwa kupata watoto wanne. "Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza katika maisha yangu kuangalia video za ngono, niliamua kuziangalia video za ngono kutokana na shauku ya kutaka kujua zikoje", alisema Ramadhani. "Alikanusha mwanzoni nilipomuuliza, nilipomuonyesha video hizo alikiri kuwa yuko kwenye penzi moto moto na mpenzi wake wa zamani akidai kuwa mpenzi |
Home »
» Azimia Baada ya Kuona Video za Ngono za Mkewe Online